Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.
Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.
Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
nataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni ni tofauti na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara za kumwajiri fresh graduate ni:-
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kusaliti kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza