sasa mdogo wangu fahamu hiki kitiu
mmoja anapaacha kazi kwenda ofisini nyingine ,mwingine analetwa kuziba pengo hakuna kibaya hapo
bado nivile vile mkuumkuu hyo nafasi inajazwa na haohao wenye ozoefu ipo kama cycle ni kwamba wa EWURA anenda tanapa,aliekue NDC anenda EWURA ko ndo mzunguko huo
hivi una habari kuwa rushwa ikikomeshwa kwa 50% na ajira zitaongezeka kwa kiasi hicho hicho? Maana right vacancy positions will be occupied by right peole.Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.
Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.
Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
hivi una habari kuwa rushwa ikikomeshwa kwa 50% na ajira zitaongezeka kwa kiasi hicho hicho? Maana right vacancy positions will be occupied by right peole.
Lakini nakukumbusha pia kuwa elimu na hasa graduates wanafundishwa kuwa wabunifu (creativity), lakini kumbe na nyie ndio mnataka kuingia kwenye mfumo ule ule ulioifikisha nchi hapa ilipo!?
Hapo kwenye red ukiendelea kuamini unavyoamini huenda ukaangaika sana kama sio milele maana watz wa leo tuna roho mbaya sana na sio kama wale wa mwaka 47
UKUMBUKE PIA NA WAO WALIANZIA KUWA MAGRADUATE KAMA NYINYI!Time will tell..!
Nilituma application 160 nilipomaliza shule,
Niliitwa interview kazi 1 tu ,sikufanya makosa,
miaka 3 baadaye hata simu nikawa sipokei...yaaani natafutwa tu
ongera sana Mungu alikua nawe, naombea nami iwe hivo
Hawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.
Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.
Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
umenena mkuu huo ndio ukweli elimu yetu ipo kinadharia sananataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza
so what is your suggestion?nataka nikupinge tena kwa nguvu, si kwa sababu nina kazi! La hasha(hata mimi nimehitimu chuo mwaka huu na natafuta kazi), ila kwa sababu ya ukweli wa mambo.
Kwanza ni mfumo wa elimu tulio nao ni wa kinadharia zaidi, hvyo unapomwajilri graduate inakulazimu uingie garama ya training, kwani vitu tunavyosoma shuleni ni tofauti na mambo ya kazi kwa kiasi kikubwa sana.
Hasara za kumwajiri fresh graduate ni:-
1. Hana uzoefu wa kazi=rate ya kukosea ni kubwa.=maximum supervision
2. Output ya fresh graduate ni ndogo kuliko ya mtu mwenye uzoefu.
Ukishaona kazi zinahtaji uzoefu, maana yake huyo mtu atahitajika kufanya kazi na maamuzi yenye bila supervision kwani expiriece is nothing but accumulation of previous mistakes therefore it reduces the probability of doing mistakes.
Hvyo basi kazi zinazohtaji expirience kwanza zinahtaji mtu anayejua kazi kwa vitendo na si nadharia.
Pili kazi yoyote inayohtaji uzoefu na ukaona watu wenye kazi wanaichangamkia tambua yafuatayo:
maslah yako ni makubwa kuliko ile kazi huyo mtu anayoiacha(orportunity cost)
job securitykatika kazi ya zamani ni ndogo kuliko aliyo nayo.
Kumbuka hakuna mtu mwenye kazi na ana uzoefu yupo tayari kusaliti kazi yake kwa hiyari yake na kufanya kaz yenye maslah duni kama/kuliko ya kwanza
Wewe sijui umesoma Shule ya wapi? Sehemu gani duniani hapa watu ambako hawabadilishi kazi? Acha kulalamika jipange na wewe uingie na usikute utakuwa wa kwanza kutafuta kazi nyingine. By the way hujui chochote watu wanahama kwa sababu nyingi. Halafu Sekretarieti ya ajira wameweka wazi mtu mwenye ajira asiombe kwenye nafasi za entry sasa kama hawatekelezi hilo walaumu wao sio waombaji. Nchi ya malalamiko hiyoHawa watu walio kwenye ajira ndio chanzo kikuu cha ukosefu ajira kwa sisi magraduet.
Nasema hivi kwasababu kila ajira ikitangazwa na unapoenda interview zaidi ya nusu ya watu watu wanaoitwa ni watu waliomakazini na hao bada ya interview wanapewa kazi kutokana na experience waloi nayo.
Sisi tulio magraduet tunabaki kuangaika bila ajira,.
Ombi langu kaka na dada zangu naombeni mtulie na kazi mlizonazo muache uroho wa kuhamahama ofisi.
Wewe sijui umesoma Shule ya wapi? Sehemu gani duniani hapa watu ambako hawabadilishi kazi? Acha kulalamika jipange na wewe uingie na usikute utakuwa wa kwanza kutafuta kazi nyingine. By the way hujui chochote watu wanahama kwa sababu nyingi. Halafu Sekretarieti ya ajira wameweka wazi mtu mwenye ajira asiombe kwenye nafasi za entry sasa kama hawatekelezi hilo walaumu wao sio waombaji. Nchi ya malalamiko hiyo
Unanipa pole wakati mimi nina kazi wewe huna....Utabaki kusindikiza na kulalama. Dunia ya sasa sio ya kubwetetka kama wewe unalala usingizi endeleeeeeeeeeeeeeea, tuache wenye sifa tubadilishe kazi huku vilaza wakiendelea kulalamiakpole sana we hamahama najua nimekugusa, jua nawewe ni kati wa wasababisha ukosefu wa ajira upende uspende ndio ukweli
pole sana we hamahama najua nimekugusa, jua nawewe ni kati wa wasababisha ukosefu wa ajira upende uspende ndio ukweli