Mlio kwenye ndoa haya ni ya kweli???

Poriposha

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
303
Reaction score
68
"About one out of 10 married adults - 12 percent - say that they typically sleep alone. Source: National Sleep Foundation"

Ni kweli jaman?? je wewe mume/mke haijawahi kukutokea,
 
kwa hiyo unahisi bongo ni zaidi au??
 
"About one out of 10 married adults - 12 percent - say that they typically sleep alone. Source: National Sleep Foundation"

Ni kweli jaman?? je wewe mume/mke haijawahi kukutokea,

Uchunguzi wa wapi huo?
 
Vyumba vya kuchezea kila mtu cha kwake viko wapi bongo hii?
 
Nikiangalia tamthilia za kijapani, china na korea naweza kuamini
 
this can be true rnfapo mmoja anakua amesafiri.... Mie mara nyingi nikisafiri hulala peke yangu... Na hata akisafiri mie hulals mwenyewe
 
1 out of 10 is 10% then 12% of 10% is 0.012 kwa lugha rahisi kwa watu 100 ni mtu 1. Hii inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…