BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Hapana mkuu haiwakiTaa ya oil inawaka katika dashboard? kibirika chekundu ivi
Gaira aina gani hio?Hapana mkuu haiwaki
DW D40 ndio nn mkuu?Gaira aina gani hio?
Mkuu kama unasikia mlio kama chuma kinagonga chuma mwenzake kama vile kugonga hodi kwa haraka katika mlango basi hio ni engine knock, usitembelee gari hio. Tega sikio lako karibia engine, sikiliza mlio unatoka wapi, yawezekana ni milio inatoka sehemu za pulley za kuzungushia belt ya alternator, compressor, timing n.k kama ukisikia sehemu izo, jaribu kutafuta DW-D40 upulizie kwenye hizo pulley kisha sikiliza kama inaendelea.
Sorry ni wd40 dawa ya kuondosha kutu au kulainisha vyuma hasa katika gari, maduka ya accesories wanazo hizo. Ukiipata pulizia sehemu nlizokwambia, ukiona bado weka sikio katika mashine katikati ukisikia mlio wa chuma kugonga tambua gari yako ina knock, haraka ipeleke kwa fundi, unaweza kuambiwa ufanye engine overhaul. Kama ni knock itakuwa ina tatizo na oil, either unatumia oil nyepesi sana sana, na kusababisha oil kutofanya kazi yake inavotakiwa au oil ni kidogo sana katka gari yakoDW D40 ndio nn mkuu?
Kazi yake nn?
Hili jukwaa la kitaalam mkuu,kama huna hoja ya kitaalam potezea tu sio lzm utie neno!Ziba masikio kwa dk 10 mara baada ya kuwasha hutasikia tena mlio huo.
Haukufungua starter siku za karibuniHabari wakuu.
Nina gari yangu ndogo ninapowasha inatoa mlio mbaya sana kama mashine za kusaga nafaka zile za zamani na inawaka kwa shida mpaka nikanyage mafuta huku nawasha.
Lkn ikiwaka baada ya muda kidogo inatulia.
Msaada wakuu.
Kwa uelewa wng n driving wheel n shaft inyoendexha gurudum plz nmekoxea marekebixhoDW D40 ndio nn mkuu?
Kazi yake nn?
Ndio mkuu. Inategemea na inavolia, huwa unaanzia mdogo mdogo tu, hata ukenda kwa fundi anaweza kukwambia haina tatizo. Lakini akiwa anausikia sana atakwambia mda umefika.habari wakuu, hiyo ya mlio wa kugonga kama hodi huwa naisikia karibu mwaka sijawahi ifuatilia kumbe inaweza kuwa ni ishu kubwa hivyo. sorry kwa kudandia uzi
Habari kaka,Taa ya oil inawaka katika dashboard? kibirika chekundu ivi
Habari nzuri tu vipina wewe?Habari kaka,
Nadhani ungetoa shule ya bure hata kwa wengine wasioelewa.
Ungewaambia iiwa kibirika kile kinaonyesha hio inaashiria nini.