Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Miaka kadhaa nyuma kuku aina ya Kuchi walipata jina sana. Bei yake ilipanda kweli kweli hadi ikafika tzs. 500'000/- kwa kuku mmoja.
Mlio bahatika kuwanunua hao kuku njooni mtupe feedback, hao kuku wenu Leo wana kilo ngapi?
Mlio bahatika kuwanunua hao kuku njooni mtupe feedback, hao kuku wenu Leo wana kilo ngapi?