Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unautani wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilimnunulia demu wangu anaitwa Giresi, atajibu mwenyewe.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama tembohao kuku wanakuwa kama mbuni,
Mkuu usije ukaanza kuchanganya na wale Turkey kuku mzinga! huyo mbuni ushawahi kumuona lakini? isije ikawa imagination ya picha za vitabu na toys. hahhahahahahahao kuku wanakuwa kama mbuni,
Mkuu hata mm kiukweli siwajui hao kuchi.Mkuu usije ukaanza kuchanganya na wale Turkey kuku mzinga! huyo mbuni ushawahi kumuona lakini? isije ikawa imagination ya picha za vitabu na toys. hahhahahahaha
Tusubiri labda wata wekwa maana nilisikia anakua mkubwa kama zile gari za mwendo kasi uki mlisha vizuriMkuu hata mm kiukweli siwajui hao kuchi.
Mwenye kuwajua atuwekee angalau picha yake tupate kujifunza.
mkuu shukrani kwa kuleta huu uzi kiukweli hizi bei za kuku kuchi, bata bukini , mzinga ,perkin , mallard and indian runner ziko juu maana ni tamaa za watu kutaka mbegu ila hakuna hata mmoja mwenye direct contact na mlaji wa mwisho ambaye atanunua bata kwa 200000 the akamchinje so as soon as watakapokuwa wengi mtaani na kila mtu kuwa nae bei yake itafika 30,000 to 50000Miaka kadhaa nyuma kuku aina ya Kuchi walipata jina sana. Bei yake ilipanda kweli kweli hadi ikafika tzs. 500'000/- kwa kuku mmoja.
Mlio bahatika kuwanunua hao kuku njooni mtupe feedback, hao kuku wenu Leo wana kilo ngapi?
Aisee watu waliambiwa wale ni dawa.Na mayai ya kware.