Mlio omba mkopo heslb angalieni hapa mjifunze mapemaaa

Thnks mkuu nakushaur hii story yako ukaitoe kama makala ktk Gazeti ina message ya kutosha kwa jamii ögera sana.
 
Da! iyo noma mzee mi cjui kwangu itakuaje coz cjawai ata kushika laki wazee ila hakuna noma full kujfunza!
 
nimejifunza umenikumbusha enzi za 1st year kweli buum noumaaa unaweza ukawaza kununua meli asee
 
Hope sa hz hata ka unapata bumu tena,utakuwa una nidhamu nalo!
 
Expand hii ukijazia na vituko vingine ulivyofanya au kukutana navyo hapo UD kuhusu wanafuzi na matukio mengine kisha andika kitabu. kinaweza kusomwa sana
 
dah bro umenifungua mimi ambae mwez ujao naanZa higher education
 
hata mimi siamin kama laki 5 inaweza kusababisha mtu asitulize akili

kwa neno moja SI KWELI
 
Halafu huwa nashaangaa wanachuo kugoma wakati bumu wanatumia kwa 'luxuries' halafu wanasema pesa haitoshi!!!
 

nani amekufundisha kutunga stori za kusadikika?
 
stori yako ni nzuri ila hapo kwenye red hapo!!! ulikua unasemea ya fom 4 au??? ILA TUMEJIFUNZA...THNX ALOT!!!
 
Nimekuelewa mheshimiwa,ila umenichanganya kwa division uliyopata ni one au two,au ulipigwa penati ya GS, pia ilitakiwa ujiulize kwanza ni kiasi gani unaifahamu PESA?......... Na unaposema BUMU hulipendi sio kweli Ila tu huna jinsi ya kupata tena hilo bumu.
 
nimejifunza umenikumbusha enzi za 1st year kweli buum noumaaa unaweza ukawaza kununua meli asee

kweli mwanangu! Ila jamaa story yake imenisikitisha sana, thanx a lot bro, cjui kama ntakaonja ka boom, lakn ntafanya ile ya 0-1-1!
 
Hongera kwa kuwa m2nzi bora ila mi kama mhakiki lazima nikukosoe kidogo. Haswa pale uliposema'siwezi kuelezea kiwango cha furaha nilichokuwa nacho siku hiyo nilipoangalia jina langu na kuona nimepata division one ya point 10'
Advance hakuna 1 ya 10 kaka mwisho huwa ni 9 nawasilisha:!
 
Ulikuwa na kiwewe toka mwanzo ndo maana wahenga walisema, "Maskini akipata ****** huliambwata."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…