Ungekuwa karibu yangu ningekutia ngumi ya pua, nimerudi saa 8 usiku lakini nimeamka saa 11 mpaka sasa usingizi umekata nawaza shetani gani alinipitia nikatumia kiasi kile, huu uzi unakumbusha machungu tu, mods uondoeni hapa.Kwa wote mlio-kula bata mpaka mkamaliza akiba yote, vp mnaendeleaje. Hz sikukuu b na zitaendelea kuwepo zisikufanye uwehuke.
[emoji2][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Unaanza kuwakwepa mapemaSipokei simu za walevi maana najua zitakuwa ni za matatizo tu
Pokea tu mkuu huenda wanaku alert kituSipokei simu za walevi maana najua zitakuwa ni za matatizo tu