Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Vipi Sisi walevi?Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
Anateseka bila sababu.
π π Watu wenye wapenzi wanaona wameyapatia sana maishaWanafanya nn kwenye network wakati wapo single, au wanaangalia pilau π