mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 May 11, 2017 #1 Wakuu habar zenu, kwa wale mlioanza Fanya Kazi kwa masaa 24 mtupe mrejesho.Mkuu alitoa agizo kuanzia juma tatu ..Bandari na mamlaka zina shirikiana na Bandari zipige Kaz masaa 24, vp kuna changamoto gani wakuu ? Wahusika mtu mrejesho
Wakuu habar zenu, kwa wale mlioanza Fanya Kazi kwa masaa 24 mtupe mrejesho.Mkuu alitoa agizo kuanzia juma tatu ..Bandari na mamlaka zina shirikiana na Bandari zipige Kaz masaa 24, vp kuna changamoto gani wakuu ? Wahusika mtu mrejesho
Justin700 Senior Member Joined Sep 11, 2016 Posts 178 Reaction score 153 May 11, 2017 #2 Kuongezeka kwa matatizo katika ndoa nyingi.
mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 May 11, 2017 Thread starter #3 Justin700 said: Kuongezeka kwa matatizo katika ndoa nyingi. Click to expand... Du