Mliobadili ID....

Wewe ni damu ya mwanangu kabisa hivyo tulizana.

Unataka kujitoa undugu unaweza kuhimili matongozo yangu?
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] hee hapa babu sina Huyo dada yko yuko wapii mmmh babuu umenishindaa tabiaa

Ngoja niende kwa rafiki yako babu Asprini nikamwambie unatabia chafuuu
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] hee hapa babu sina Huyo dada yko yuko wapii mmmh babuu umenishindaa tabiaa

Ngoja niende kwa rafiki yako babu Asprini nikamwambie unatabia chafuuu
Ole wako umwambie. Halafu naona upo naye karibu tu.

Akuoe nipewe vyangu
 
Nikajua umezeeka zeeka kidogo umeacha baada ya kufikisha 28. [emoji468] [emoji468] [emoji468]
Nani huyo? Kwa mujibu wa ID mpya ndio kwanza anakaribia kutimiza 22.[emoji23]
 
Hahah sio hilo tu ila bado ni bikra kwa mujibu wa I'd mpya.

Usiniongezee neno ni dada yangu ataninunia huyo.
Hongera[emoji13] [emoji13] hapo jiandae kupokea dau nono la mahari ukimuoza Huyo. Waowaji tunazisaka sana bikra za mabinti wazee wabichii kabisa under 22.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…