Kama wewe wa kitambo nimekukuta ivoivo ila sikuizi hupatikani sanaId imezeeka au[emoji23] [emoji23]
Dah nimekujua kwa jina asee ni wewe?Halafu wewe ndiye nilikuwa nakusubiri hapa.
Eeh nitajie kale ka I'd kako kapya nisije nikarudia kukutongoza.
Uzee mkuuKama wewe wa kitambo nimekukuta ivoivo ila sikuizi hupatikani sana
Kama ulikubali mwanzo haji tena akikosa ndo anakubadilishia swaga.Na wakaka pia watuambie wasijeanza kututega kututongoza mara ya pili. Tukiwakubali tena mara ya pili tusilaumiane
Ni kawaida sana hata mimi nlivyokuwa mpya nlikuwa nimechangamka sanaMkuu umepatia sana yani ha ha haaaa
Wapi bwana kama alishakula anarudi kukuchoraKama ulikubali mwanzo haji tena akikosa ndo anakubadilishia swaga.
Ha ha haaa kwani kesharisishwa ubazazi?Sikuambii ili nikukamate na ubazazi wako
Kweli bhanaa ata mtu hujapanga akili inakaa sawa niaze ni sianze ha haaaMimi nimeamua kukomaa na nyie wenye ID za zamani..ila hizi mpya zinashawishi sana.πππ
Huyo si mwema kwani aliomba akataliwe iweje akuchoreWapi bwana kama alishakula anarudi kukuchora
Uzee mwesho chalinze apa wote levo tuUzee mkuu
Umenena ila hapendi kujificha pia kama my ex[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila miss chagga atagundulika tu sidhani kama tabia yake ya kupenda hela anaweza kufanikiwa kuificha kwenye id mpya
Mkuu, umefunga thread... C kwa udadavuzi huo πππWatu wajanjaa akiona kazeeka zeeka anafungua mpya.
Siku nyingiiHa ha haaa kwani kesharisishwa ubazazi?
Kama wewe nna shaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi JF ndo kwanza nimeijua juzi... Nilidhani ni mambo ya siasa tu humu. Ila nna mpango wa kufungua account nyingine nije nilete bandiko Love connectKama wewe nna shaka
Mangali mamboHuyo si mwema kwani aliomba akataliwe iweje akuchore
Mimi JF ndo kwanza nimeijua juzi... Nilidhani ni mambo ya siasa tu humu. Ila nna mpango wa kufungua account nyingine nije nilete bandiko Love connect
Safi bhana