Mmmh, mkwe tena? ?Hapana mkwe
Ni mkweo tena!!!Hapana mkwe
Halafu wewe...Haha sis umeskia mwanyasi anasema hauna bukira [emoji16][emoji16]
Cc espy
Yaani na mitongozo yote ya mtambuzi, Asprin,Mentor na watu8 akaweza kuruka! Mwambie namuita athibitishe hayaHata atoto alikuwa nayo, kuna mahali niliona kasema anayo.
Mmmmh!! Mtu anajiunga leo May 9 2017 na kukupm, haki lazima machale yakucheze.Pm kuna utulivu bwana kule ni rest room ila humu jukwaani mara mpwa Heaven Sent kadondosha glass
Huyu musimseme jamani plz kama akiwa atoto potelea mbali roho inamsukuma kwa sasaUmeskia Jovitha naye kumbe mkongwe
Mwanao naona sijui ndiyo alifikiri yupo kwenye ID yake ya ujana...Ni mkweo tena!!!
Hahaha... Niitie mkweo basi aje hukuHalafu wewe...
Leo mara ya ngapi?
Mkwe mimi huwa sipiti njia hii,Mkwe umetokea wapi tena[emoji85]
Hahahaaa! Hebu tuunge dots kwanza, una mkwe humu? Kama yupo tuunganishe id na ya dota.Mwanao naona sijui ndiyo alifikiri yupo kwenye ID yake ya ujana...
Sasa kuna wale anajiunga leo anaanzisha uzi halafu ukicomment anakuja pm anakuambia Nashukuru kwa kucomment haha... wazee mnaakili nyie [emoji23][emoji23]Mmmmh!! Mtu anajiunga leo May 9 2017 na kukupm, haki lazima machale yakucheze.
Cheka mwaya uongeze siku,Umenifanya nicheke kwa nguvu usiku huu jamani
Alisema hata kutongozwa hajawahi.Yaani na mitongozo yote ya mtambuzi, Asprin,Mentor na watu8 akaweza kuruka! Mwambie namuita athibitishe haya
Manga atoto si X wako! Siku ya kukutana na Jovitha leta mrejesho tuHuyu musimseme jamani plz kama akiwa atoto potelea mbali roho inamsukuma kwa sasa
Mkwe yupo hahahahaha...Hahahaaa! Hebu tuunge dots kwanza, una mkwe humu? Kama yupo tuunganishe id na ya dota.
Mniwache na bikra yangu.Haha sis umeskia mwanyasi anasema hauna bukira [emoji16][emoji16]
Cc espy
Ha ha haaaNani anaupenda uzee manga
Pole ni yetu sote, pole pia.... Mungu atuongozeNi huzuni sana. ....
Mungu awafariji kina PJ pamoja na wazazi wengine walioondokewa na watoto wao. ..