Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Kwani ID yangu nyingine huijui?Itakua kwenye id ingine ataje apa
Ofu koziZe meny idizi hapenidi.
Mimi naifahamu ileKwani ID yangu nyingine huijui?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ukwe vipi apaMkwe na wewe habari ya kunifuata kwenye vijiwe vyangu nimekataa
Sasa mbona tongozo langu ulilikaushia?Mimi naifahamu ile
Mimi na wewe tulishakubaliana kwenye ID hii, ile si ulisema ya kuchunia vibosile.....Sasa mbona tongozo langu ulilikaushia?
Ngoja nikajionee ukouko sasaAtaikubalije ID yake ya uzee kiurahisi rahisi hivyo angalia mwandiko utajua
Haha hiyo hiyoMimi na wewe tulishakubaliana kwenye ID hii, ile si ulisema ya kuchunia vibosile.....
Vipi mkuu, yamekukuta yapi?Jamani mliobadili ID tuambiane PM tafadhali. Mimi binafsi nawaomba akina dada mliobadili ID tutambuane ili tusitongozane kwa mara ya pili,tatu,nne..
Ameoa binti yangu huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] huu ukwe vipi apa
Hem itaje naeza ikumbukaKwani ID yangu nyingine huijui?
Ewaaaaa,Haha hiyo hiyo
Nisubiri pmHem itaje naeza ikumbuka
Hivi nilishakutongoza wewe?Wengine tulibadili ID ili tutongozwe kwa mara ya pili.
Mkuu Wapo Wengine wanateka hisia tu.Wala hagusi huko Mkuu.
Usiende kwanza PM weee...Nisubiri pm
Huna heshima na wakwe wewe mbona mkwara mzito hivi?Ameoa binti yangu huyu