Kuna njia zifuatazo:1.Panda basi la kwenda Kigoma,ukifika Kasulu mjini shuka then ulizia stendi ya Manyovu.Panda magari ya kwenda Manyovu ushukie kituo cha mwisho(ambacho ni Munanila sokoni).Chukua boda boda ikupeleke Munanila sec.2.Panda treni hadi Kigoma mjini,then tafuta magari ya kwenda Manyovu.Utashuka Munanila sokoni,chukua boda boda hadi Munanila sec. Nauli:Treni Moro-KG ni kama 22000,Kigoma mjini-Manyovu buku 5 by taxi buku 3 by mini bus.Bus Moro-kasulu ni kama 55000,Kasulu-Manyovu buku 5 by taxi.