Mliochaguliwa UDSM, fuata utaratibu huu

CASSIUS

Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
36
Reaction score
5
Hello Brothers and Sisters!Hongereni kwa Kuchaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Bora Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Hoja zenu nimeziona, naomba kuwapa majibu sahihi maana mimi ni mtangulizi wenu chuoni hapa.

Kuhusu ADMISSION FORM, zinapatkana kwenye website ya chuo, lakini si vizur kutumia hiyo maana ile ni general, kuna vitu vinapungua mfano REG. NO YAKO.

Nenda chuoni uchukue Bahasha yenye fomu iliyokamilik. Form hiyo ina maelekezo yote pia imeambatanishwa na MEDICAL EXAMINATION FORM. Wakati unaifata nenda na kitambulisho chochote au cheti chenye majina na picha yako halisi.

Ukisha chukua nenda kwa Dr. Akujazie form ya Afya, then fanya malipo ya Ada, direct cost ambayo ni kama 78000/-, ada ya Hostel. Kisha ndo uende kuanza taratibu za Regsration.

Mind you kidogo taratibu za USAJIRI ZINAKERA hususani kwa Cozi zenye watu wengi, hivyo nakusihi kuwa mvumiliivu na kujitahd kuomba ushaur kwa wazoefu.

ASANTENI.

NITAFUTE KWA MAELEZO YA ZIADA 0756628773 (WHATSAPP)0715013314 (CALLS ONLY)

KIONA MBALI is my Famous name.

BED. PSYCHOLOGY-UDSM.
 
kwa wale 1st year tuliopangiwa udsm PM namba yako tufahamiane mapema, mimi nimechaguliwa College ya COSS main campus, pia tuwasaidie wenzetu Continuing Students kuwabeba maana nimekuta gharama za kupanga room Maeneo ya karibu na chuo ni kubwa sana ni kati ya 80000-150000 kwa mwezi nilitaka nipange nimeahirisha maana tukikataa next year ni zamu yetu
 

umekua namba moja kwa nidhamu. Waeleze vijana wenzako juu ya swala LA KUBEBA (kumsaidia continuing Student pakulala).
Kuna tutoto tusio na uzalendo hua hatuelewi. Ukikaambia kuhusu kubeba, unakasikia leta LAKI MOJA.

Ifahamike kua, kubeba ni mila na desturi za udsm na yoyote asiyebeba ni sawa na MCHAWI!
 
asante mkuu kwa kuongezea tu ni kuwa hauwez kupata boom bila kumaliza usajili, so usitegemee hela ya bum kulipa ada, so kwa sasa ni bora ukaja na balance ya kutosha kwa ajili ya usajili na fedha ya kujikimu kwa muda ambao utakua haujapata bum
 

Usiwaaminishe watu ujinga wako...nani kasema ni utamaduni kubeba/kubebwa????....nina wadg zangu hapo udsm mwaka wa tatu sasa hawajawahi kubeba/kubebwa....ni ujinga/uvivu na uoga wa maisha
 
Usiwaaminishe watu ujinga wako...nani kasema ni utamaduni kubeba/kubebwa????....nina wadg zangu hapo udsm mwaka wa tatu sasa hawajawahi kubeba/kubebwa....ni ujinga/uvivu na uoga wa maisha
haha... ubinafsi, roho mbaya ndivyo vilivyokujaaa ww..... afu kumbe unawazungumzia ndugu zako wanaosoma udsm na sio ww... ungeleta na ww na...niiiuje usome pale ujioneee mwenyewe... huenda hao ndugu zako ni kama ww tuuu...
 

Mkuu direct cost ni 78000 au ni 77400
 

Dawa ni kumwagia maji kitanda chake,ila kama anajielewa ni bora akabeba kwani naye yatamkuta!
 
Reactions: iny
Usiwaaminishe watu ujinga wako...nani kasema ni utamaduni kubeba/kubebwa????....nina wadg zangu hapo udsm mwaka wa tatu sasa hawajawahi kubeba/kubebwa....ni ujinga/uvivu na uoga wa maisha

nawasi wasi na umri wako, kulinganisha na uwezo wako wa kufikiri! Nisamehe kama na ww unatabia kama ZILE!
 
naona umeandika mambo ya direct cost na hostel tu, so ada inakuaje?
 
sitam'beba mtu bure lazima alipie gharama za hostel yeye
 
watu mnaopenda kubebwa mnanikera hamjui tu yaani...unakuta jitu 3rd year afu linataka kubebwa....loohh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…