1 123cholo Member Joined May 20, 2014 Posts 14 Reaction score 1 May 24, 2014 #1 Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo chuo kitakufikilia Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewa
Nawakumbusha wale wanafunzi walio disco na mwaka huu wanataka kuomba mkopo wakumbuke kurudisha 25% ya ulichotumia ndo chuo kitakufikilia Na ruhusu kufahamishwa zaidi au kukosolewa