Mlioenda Mlima wa moto naombeni mrejesho

Mlioenda Mlima wa moto naombeni mrejesho

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
Naamini ule UPEPO wa Kisulisuli umevuma nchi nzima na leo ndiyo deadline. Mliobahatika kwenda Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God kwa Mama Rwakatare, naomba mnijulishe, matokeo yakoje kwa sisi tuliyomiss?

We mdada Kama hukupata bahati ya kwenda, mi jimbo lipo wazi, nipo Mnada wa Nyama [emoji28][emoji28][emoji28], Chama.
IMG-20191019-WA0006.jpeg
 
Mkuu, itakuwa wameyumbishwa na hili la mjomba Magu! Kule Jukwaa la Siasa kuna manyumbu mengi halafu wanajiona wapo vizuri kiakili! Mi naona waje huku tu kwenye majukwaa yanayoonekana ya kipuuzi. Wameharibu kisulisuli bure.
 
Mkuu itakuwa wameyumbishwa na hili la mjomba magu! Kule jukwaa la siasa Kuna manyumbu mengi hlf wanajiona wapo vizuri kiakili!! Mi naona waje huku tu kwenye majukwaa yanayoonekana ya kipuuzi.. wameharibu kisulisuli bure.
Bro achana na siasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] pambana na hali yako
 
Nilikuwa nina mpango wa kwenda lakini upepo huu ulinipeperusha hadi shule fulani ya sekondari mara paap, nikajikuta nimetua kwa mwanafunzi. Huu upepo nyie acheni tuu.


Ngoja walioenda watupe mrejesho
 
mkuu unyumbu wao umeathiri kisulisuli
Yeyote anayekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke, ni kwamba anakudanganya. Ndoa sio ultimate happiness kwa mwanamke.

My Black sister, hauhitaji mpaka NDOA ndiyo uwe na furaha. Unaweza ukawa na furaha wewe kama wewe. Ndio, inatakiwa kufurahia maisha yako ya u-single. Hauwezi kuishi maisha ya huzuni kisa haujaolewa bado, ni vibaya mno kuja kuolewa kutokana na internal au external pressure.

Inuka sasa, tumia maisha yako ya u-single kukamilisha ndoto zako, career yako na kuendelea kuji-upgrade. Wekeza nguvu zako katika kujiendeleza, kujithamini na kujipenda.

Kila siku jiangalie kwenye kioo na jisemee moyoni: "I just love me".

I don't regret to be me!
I don't regret to be where I am now!
I don't regret all challenges I have passed through, anything which did not take away my life because everyday God has given me a chance to build new part of my life.[emoji7][emoji7][emoji7]

Sijutii kuwa mimi ..
Sijutii kuwa hapa nilipo...
Sijutii changamoto nilizopitia chochote ambacho hakijaondoa uhai wangu kwa sababu kila Sikh Mungu amenipatia nafasi ya kutengeza upya sehemu ya maisha yangu.

Ndoa itakufuata tu wakati tayari ukiwa na furaha kwa sababu wanaume waoaji hawana mbwembwe na hawalazimishwi.

As long as wewe ni wife material, haitajilisha ni muda kiasi gani, lazima utaolewa tu na utakuwa na NDOA ya furaha. Haitajalisha shetani na washirika wake wamepanga mipango gani mibaya kwako, destiny yako imeshaandikwa na mwenyezi Mungu hivyo lazima itimie. [emoji1331][emoji1331]

Haya unayopitia hivi sasa ni kama darasa la kukuandaa kuwa mtu jasiri, anaejiamini na msaidizi bora. Believe it you shall marry and live happily ever after. #AMEN

#DateSmart
#MarrySmart
#MarriageIsBeautiful
#Upepo wa Kisulisuli sio your destiny

Rise and shine girl!!

View attachment 1239321View attachment 1239322
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
 
Yeyote anaekupa pressure na kukuongopea kwamba NDOA ndio kilele cha furaha kwa mwanamke ni kwamba anakudanganya..NDOA sio Ultimate happiness kwa mwanamke.

My Black sister hauhitaji mpaka NDOA ndio uwe na furaha. Unaweza ukawa na furaha wewe kama wewe. Ndio, inatakiwa kufurahia maisha yako ya U-single..hauwezi kuishi maisha ya huzuni kisa haujaolewa bado, ni vibaya mno kuja kuolewa kutokana na internal au external pressure.

Inuka sasa, tumia maisha yako ya U-single kukamilisha ndoto zako, career yako na kuendelea kuji-upgrade. Wekeza nguvu zako katika kujiendeleza, kujithamini na kujipenda.

Kila siku jiangalie kwenye Kioo na jisemee moyoni..."I just love me".

I don't regret to be me!
I don't regret to be where I am now!
I don't regret all challenges I have passed through, anything which did not take away my life because everyday God has given me a chance to build new part of my life.[emoji7][emoji7][emoji7]

Sijutii kuwa mimi ..
Sijutii kuwa hapa nilipo...
Sijutii changamoto nilizopitia chochote ambacho hakijaondoa uhai wangu kwa sababu kila Sikh Mungu amenipatia nafasi ya kutengeza upya sehemu ya maisha yangu.

Ndoa itakufuata tu wakati tayari ukiwa na furaha kwa sababu wanaume waoaji hawana mbwembwe na hawalazimishwi...

As long as wewe ni wife material, Haitajilisha ni muda kiasi gani, lazima utaolewa tu na utakuwa na NDOA ya furaha. Haitajalisha shetani na washirika wake wamepanga mipango gani mibaya kwako, destiny yako imeshaandikwa na mwenyezi Mungu hivyo lazima itimie. [emoji1331][emoji1331]

Haya unayopitia hivi sasa ni kama darasa la kukuandaa kuwa mtu jasiri, anaejiamini na msaidizi bora...believe it You shall marry and live happily ever after.....#AMEN

#DateSmart
#MarrySmart
#MarriageIsBeautiful

#Upepo wa Kisulisuli sio your destiny

Rise and shine girl!!
View attachment 1239321View attachment 1239322
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah Mimi ni me wewe
 
Nilikuwa pale ibadani nasikiliza mahubiri nikaanza kusinzia ghafla nikasikia kama matawi ya miti yanatikisika kwa nguvu, nikastuka, tukatahadharishwa huo ni upepo wa kisulisuli unavuma unatuletea wachumba sisi mabachela. Upepo ulipotulia madhabahuni walikuwa wamemejaa warembo ndipo nilipoanguka kifudifudi na kuzisujudu mbingu. Nashukuru nimeondoka na mrembo mmoja.
 
Nilikuwa pale ibadani nasikiliza mahubiri nikaanza kusinzia ghafla nikasikia kama matawi ya miti yanatikisika kwa nguvu,nikastuka,tukatahadharishwa huo ni upepo wa kisulisuli unavuma unatuletea wachumba sisi mabachela,upepo ulipotulia madhabahuni walikuwa wamemejaa warembo ndipo nilipoanguka kifudifudi na kuzisujudu mbingu,nashukuru nimeondoka na mrembo mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa nina mpango wa kwenda lakini upepo huu ulinipeperusha hadi shule fulani ya sekondari mara paap, nikajikuta nimetua kwa mwanafunzi. Huu upepo nyie acheni tuu.


Ngoja walioenda watupe mrejesho
Huo upepo ukitoka hapo utakuvurumisha hadi Segerea
 
Back
Top Bottom