Kilimo cha ngano nenda Hanang huko Kateshi, ama Monduli juu, ama Karatu huko kajifunze shambani kwa vitendo ila nenda mwezi wa 5 ambako ndio wanaanzaga kuotesha ngano, kipindi mvua zinaelekea mwishoni.
Ngano sio zao complicated kulima, kama hali ya hewa inaruhusu. hali ya hewa ndio kila kitu,