Mliofanya interview ajira za utumishi, ni kweli hawataki vyeti vyenye majina matatu tu?

Hypershulemia

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2021
Posts
275
Reaction score
841
Habari wana JF,

Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu?

Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje?

Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?

 
Mliofanya usaili njooni mtupe experience mliyokutana nayo huko
 
Hata mkikataliwa msiwe na hofu kwani niko mbioni kuanzisha na kufungua kiwanda kikubwa cha kuchakata miogo Mukuranga kitakachotoa ajira ya malaki.
 
Bado mkuu sijafikia hata hatua za kuanza kuomba kazi, nitaka tu kujua kama hilo suala ni kweli
Sio kweli kurasa ya Ajira Portal Utumishi wamekanusha hio haipo kila kitu kinaenda na mifumo sasa hivi kwa hio taarifa sio kweli km kwenye mfumo linasomeka majina mawili na Cheti kinasoma mawili ndio hivyo hivyo hakuna habari ya majina matatu, kwa hio huo ni upotoshaji sio kweli
 
Asante kwa ufafanuzi
 
Hata mkikataliwa msiwe na hofu kwani niko mbioni kuanzisha na kufungua kiwanda kikubwa cha kuchakata miogo Mukuranga kitakachotoa ajira ya malaki.
Dogo kuwa serious hapa jamvini.

Sio unamwaga porojo tu.

Sauwa Semenya?
 
πŸ˜€πŸ˜€

Nikutoe hofu mkuu, kichwani niko vizuri kitaaluma.
Sasa washindwaje kujua kati ya aitikien a nshomile, aitikien nshomile na aitikien anuary nshomile ni watu watatu tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…