Mliofeli gs chuo kama kawa.

AfricaUnited

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Posts
2,367
Reaction score
1,293
nimeona wATU WENGI WANATISHA UKIFELI GS HUPAT CHUO.NIMEANDIKA KWA MAANDISHI MAKUBWA kusisitza SI za kweli hizo taarifa.KAMA UNA POINT ZA KUTOSHA UNAPATA CHUO TENA HATA MLIMANI UDSM.UO NDO UKWELI.GS NI PENALT TU LAKN SI KWA VYUO.ADMISION DEPT UDSM.chuo kama kawa
 
Gs k2 gani? Chuo kama kawa we mwaka huu wamenyonga philosophy utadhani ugomvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…