Mlioforwardiwa meseji za Happy Valentines day, hii inawahusu

Mlioforwardiwa meseji za Happy Valentines day, hii inawahusu

Lihove2

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
3,545
Reaction score
6,512
Kama umekuwa wa kwanza kufowardiwa ,narudia tena, kufowadiwa meseji ya Happy valentine na mtu mwingine kabla ya wewe kumtumia huyo mtu, jua tu aliyekuforwardia anathaminiwa na kukumbukwa na wengine zaidi ya wewe unavyomkumbuka yeye. Na usikute unapewa meseji iliyotoka kwa mchepuko.

Kama hujanielewa nalo ni tatizo lingine

Otherwise epuka KUFOWADI meseji za Valentine wishes, Ila Fanya kutuma hizo meseji.

Happy valentine's day kwenu wote. Mungu awabariki
 
Hii ya leo hii, balaa....ndo kwanza dakika ya 5 kipindi cha kwanza[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeh
 
Back
Top Bottom