Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ni Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa ushirikiano wowote katika shida za watu hawa.
Sasa hawa wanasiasa wanaohamia huko CCM wanataka tuamini wanaenda kuunga juhudi mkono zipi kama sio hizi za kina Lissu, Azory na Ben?