Huo ni mtazamo wako kuwa huwezi kuunga mkono. Mtazamlo wa wenzako ni kuunga mkono. Tatizo ni nini?Kweli siasa za kimumiani aisee Yani kwa lipi eti niunge juhudi mkono kwani katiba imeharamisha upinzani?
Upinzani ni kitu halali kabisa Wala ukiwepo upinzani haimaanishi unatenda jinai ila acha wahamie huko ili watakapoanza kulana wenyewe cc tutakuwa tunagonga Cheers!!
Huo ndio ukweliNi Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa ushirikiano wowote katika shida za watu hawa.
Sasa hawa wanasiasa wanaohamia huko CCM wanataka tuamini wanaenda kuunga juhudi mkono zipi kama sio hizi za kina Lissu, Azory na Ben?
Io ni justification yako.Ni Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa ushirikiano wowote katika shida za watu hawa.
Sasa hawa wanasiasa wanaohamia huko CCM wanataka tuamini wanaenda kuunga juhudi mkono zipi kama sio hizi za kina Lissu, Azory na Ben?
Ni hitimisho au mtazamo wako.Sijakuelewa mkuu
Siasa huku Africa ni ajira au kuna kingineNi Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa ushirikiano wowote katika shida za watu hawa.
Sasa hawa wanasiasa wanaohamia huko CCM wanataka tuamini wanaenda kuunga juhudi mkono zipi kama sio hizi za kina Lissu, Azory na Ben?
kakojoe ulale, uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana! Yaani kwako kinachoweza kusababisha hao jamaa zetu wakafikwa na yaliyowafika ni serikali tuuu, hakuna kingine! Hawana maadui wao kwenye jamii! Au hata simba wala watu! Au hata kujitokomeza kusikojulikana, n.k! Hayo yote kwako hakuna ila serikali ya awamu ya 5 tuuuu! Kweli chuki binafsi na upiga dili haujawahi mwacha mtu salama! Tena kwa lisu, huyo ni kama msukule ni adui kwa taifa letu…ye aendelee kuishi kwa ndugu zake wazungu, na atuache na Tz yetu, na Magu wetu!Ni Jambo lisilopingika kwamba kupotea na masahibu yaliyowapata hao watajwa hapo juu yana mafungamano ya moja kwa moja na utawala wa awamu ya tano.
Tunalazimika kuamini hivi kwasababu ya mazingira yaliyotokea kabla na baada ya madhila walioyapata na mbaya zaidi kwakuwa serikali haijatoa ushirikiano wowote katika shida za watu hawa.
Sasa hawa wanasiasa wanaohamia huko CCM wanataka tuamini wanaenda kuunga juhudi mkono zipi kama sio hizi za kina Lissu, Azory na Ben?
Ukiulizwa kwa haki kabisa lisu amekukosea Nini wewe binafsi na amelikosea Nini taifa unaweza kuthibitisha? Ok kwa kauli zenu nyie ndio wapangaji wa mauwaji ya lisu hilo liko wazi uzuri ni kwamba mnawaponza wenye dhamana maana tayari mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa yanaanza kunusanusa swali ni je kwanini mnadhani ilimpasa lisu kuitwa hayati au marehemu lisu Leo hii na Mungu akakataa mmeshawahi kujiuliza?kakojoe ulale, uwezo wako wa kufikiri ni finyu sana! Yaani kwako kinachoweza kusababisha hao jamaa zetu wakafikwa na yaliyowafika ni serikali tuuu, hakuna kingine! Hawana maadui wao kwenye jamii! Au hata simba wala watu! Au hata kujitokomeza kusikojulikana, n.k! Hayo yote kwako hakuna ila serikali ya awamu ya 5 tuuuu! Kweli chuki binafsi na upiga dili haujawahi mwacha mtu salama! Tena kwa lisu, huyo ni kama msukule ni adui kwa taifa letu…ye aendelee kuishi kwa ndugu zake wazungu, na atuache na Tz yetu, na Magu wetu!
Tutaendelea kurudi nyumbani kumenoga, chini ya jemedari wetu Magu! Wenye wivu ng'wateni ulimi mumfuate ibirisi jehanamu!
Shida iliyopo ni kutumia moyo kufikiri badala ya akili! Mtazamo wako ndio anguko lako! Kama kila akifanyacho Lisu kabla na baada ya tukio la kupigwa na blankoo yote kwako hukuna kosa kwa nchi yetu Tz, then I rest my case!U
Ukiulizwa kwa haki kabisa lisu amekukosea Nini wewe binafsi na amelikosea Nini taifa unaweza kuthibitisha? Ok kwa kauli zenu nyie ndio wapangaji wa mauwaji ya lisu hilo liko wazi uzuri ni kwamba mnawaponza wenye dhamana maana tayari mashtaka kwenye mahakama ya kimataifa yanaanza kunusanusa swali ni je kwanini mnadhani ilimpasa lisu kuitwa hayati au marehemu lisu Leo hii na Mungu akakataa mmeshawahi kujiuliza?