Nimeipenda nyumba hii nikawaz nibadilishe iwe frem lakini huku madirisha ya mbele nayabadilisha kuwa mlango , jumla inakuwa na frem 3 . Buget yangu ya ujenzi mpaka kupaua bila finishing ni milion 5 na kila frem nataka iwe futi 20 kwa 10
Nitatumia fundi Maiko kujenga na kupaua ,eneo ipo nje kidogo ya Dar na barabara bado ni ya vumbi wakazi wengi wa hapa wanafanya mishe zao Dar na huduma zote kasoro za serekali wanapata Dar japokuwa ni pwani.
Naweka Duka la madawa kwenye frem moja na mimi ndio nitakuwa nauza , mm ni mtu wa medical , nilikuwa kwenye business ya mtu kwa miaka mitatu lakini mtoto wake alimaliza mwaka jana chuo na ameniambia nafasi yangu itachukuliwa na mwanae kwa hiyo kibarua mwisho mwezi wa nne.
Nimepiga mahesabu ya kukodi frem sio chini ya 200,000 - 250,000 hapo bado mazagaa kibao. Nimeona nijibane tu nijenge alafu nachagua frem moja nafanyia finishing mambo kwisha.