Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

Kuna nyumba hapa jirani, milangoni na madirishani kuna mavyuma tu. Matofali yako uchii (haijapigwa plaster). Ukiangalia kibaraza kina zege tu (dalili ya kuwa ndani kuko na zege pia). Kila nipitapo jioni ama usiku nikirudi home nakuta nje imepaki Klugger namba E. Huwa nacheka tu!
Moyoni najisema, mwamba alipunguza hela akabeba Klugger akiamini iliyobaki itamtosha kwenye ujenzi!
 
Kila kitu na matumizi yake, kLuger huwezi tumia kama nyumba na nyumba huwezi tumia kama kluger.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…