Na bado ili ufikie finishing na kuishi unatakiwa uwe na si chini ya millioni 30 hadi 50 inatagemea finishing yako unafanya ya mtindo ganiZamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Sawa sawamsingi kwa kujumlisha na septi tank mawe trip 18
Na maisha yalivyo nyoko mtu hutangulia na nyumba ikabaki kufaidiwa na wengine!Hongera Kwa hatua uliyofikia
Kusema kweli, suala la kujenga linahitaji kujipanga pamoja na kujinyima ili uweze kufanikiwa lengo lako la Ujenzi
Kinyume cha hapo, unaweza kuzeeka na kufikia umri wetu Babu zenu pasipo kumiliki kibanda hata cha milioni 30
Binafsi napenda kujenga
Japo nafanya Kwa kujinyima mno
Kwenye shilingi 10,000 niipatayo basi shilingi 7,000 naipeleka kwenye Ujenzi na kuishia kula 3,000 iliyobaki 🙌
Kweli MkuuNa maisha yalivyo nyoko mtu hutangulia na nyumba ikabaki kufaidiwa na wengine!
Tena sisi wanaume majukumu yalivyo na mbanano hata kukaa kwenye hio nyumba ni kwa masaa machache mno.
Endelea kujibana mkuu!
Watu wengi hawajui kuna tofauti ndogo sana kati ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala sebule choo,jiko na nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala sebule jiko na choo. Kimeongezeka chumba kimoja tu tofali kama 400 tu.Kwaning una
Unasema nimepingwa zingatia tofali la block bukoba ni tsh 1600 cement ni sh 26,000 mfuko
Inafikirisha sana , ila hamna namna.Kweli Mkuu
Kuna Mzee mmoja nilikuwa naongea naye, akashauri tupunguze kuwekeza kwaajili ya watoto
Inafikia kipindi hujavaa shata jipya Wala kiatu kipya Mwaka mzima, kisa unajibana kwaajili ya kujenga majumba ambayo utakufa na kuyaacha Vijana wakigombania tu 🙌
Mimi ndiyo nimeanza kutenga Bajeti ya kwenda Likizo tangu Mwaka juziInafikirisha sana , ila hamna namna.
Dah sehemu gani Kaka ? Rwamishenye ? Kashai ? Nyamkazi ? Buyekera ? Uswahilini? Hamgembe ? Kamizilente ?nimejenga bukoba mjini
Hakika kama una budget ya vyumba 2 , vitatu havitaushindaWatu wengi hawajui kuna tofauti ndogo sana kati ya nyumba yenye vyumba viwili vya kulala sebule choo,jiko na nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala sebule jiko na choo. Kimeongezeka chumba kimoja tu tofali kama 400 tu.
Hongera. Umethubutu. Ukipata million 5 unahamia kibishi.vyumba viwili vya kulaa sebule na kistoo cha kimtindo chumba kimoja master na kachoo ka nje
Kagondo karibu na shule ya Amani au karibu na kyakairabwa ?kagondo kaka
Anhaa basi ni karibu na stendi mpya ya kwenda sijui mtukula ,walipokuwa wachina zamani .Karibu kyakairabwa
yes mimi niko mlimani kiasi fulani kyakailabwa nakua napaona kwa mbali kdgAnhaa basi ni karibu na stendi mpya ya kwenda sijui mtukula ,walipokuwa wachina zamani .
Basi pamoja Kaka ,Mimi nipo karibu na wanapokaa matrafiki ndiyo nafikia nikitoka kupiga mishindo huku mikoani nakuja mitaa hiyo nakaa huku nakula maisha taratibu .
Vipi kwa uenyeji wako ni rahisi kupata gari la kukodi walau kwa majuma mawili ikiwa nitahitaji ndugu ?