Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Shimoni mkuuTatizo ni bei za materials za kujenga zimeflactuate vibaya mnoo.
Ssasa hivi watakaojenga ni wale walio na vipato imara tofauti na hapo unafirisika vibaya mnoo
Mwamba upo?Mil 10 vyumba viwili labda ukiweka na hela ya kununua kiwanja..lasivyoo umepigwaa parefuuu sanaaaa.
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Tofauti ya bei ipo lakini sio kubwa kivile,kujenga nyumba ikaisha sio jambo la kubeza,ni safari kwelikweli.Cha muhimu ni kuanzia hapa,tunapozungumzia nyumba imeisha tunamaanisha kuisha kitu gani...?ujenzi wa dar na mkoani ni tofauti kidogo dar viwanja vingi tambarale na materials ni very cheap ukilinganisha na mkoani
Wengi wanajenga nyumba ila hawajaamua kusettle ; wafanyakazi wanaohama hama kila siku .Kuna nyumba hapa jirani, milangoni na madirishani kuna mavyuma tu. Matofali yako uchii (haijapigwa plaster). Ukiangalia kibaraza kina zege tu (dalili ya kuwa ndani kuko na zege pia). Kila nipitapo jioni ama usiku nikirudi home nakuta nje imepaki Klugger namba E. Huwa nacheka tu!
Moyoni najisema, mwamba alipunguza hela akabeba Klugger akiamini iliyobaki itamtosha kwenye ujenzi!
Mpaka kuisha kabisa finishing yote andaa milion 22Naombeni approximation za kujenga nyumba ya vyumba viwili (master kimoja), sebule na choo cha ndani kimoja public.
Eneo Dsm
Dodoma material bei rahisi ndiomana umejenga kwa hiyo pesa..!!Milioni 11 nimejenga vyumba viwili 11 kwa 11 sebule kubwa 12*12 bila kusahau vyoo viwili vya ndani na jiko kubwa 6*6 .
Milango, madirisha ila sijagrill na nishahamia kibishi.
Nb. Nimeijenga nyumba hiyo Dodoma 2024.
Nashangaa m10 umejengaje vyumba viwili
Mil 10 vyumba viwili labda ukiweka na hela ya kununua kiwanja..lasivyoo umepigwaa parefuuu sanaaaa.
Bado tafuta zingine 15M ndio itaanza kuonekana kama ni nyumbaZamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Babu sie wajukuu mgao wetu ukwapi kwenye hiyo 10 uipatayoHongera Kwa hatua uliyofikia
Kusema kweli, suala la kujenga linahitaji kujipanga pamoja na kujinyima ili uweze kufanikiwa lengo lako la Ujenzi
Kinyume cha hapo, unaweza kuzeeka na kufikia umri wetu Babu zenu pasipo kumiliki kibanda hata cha milioni 30
Binafsi napenda kujenga
Japo nafanya Kwa kujinyima mno
Kwenye shilingi 10,000 niipatayo basi shilingi 7,000 naipeleka kwenye Ujenzi na kuishia kula 3,000 iliyobaki π
Noma sana. Jasho lazima likutoke lakini ndio maisha. Heshima sana ukimaliza kujenga unapumua na kuna raha fulani amazing kumiliki Home.Mm nadhan kajitahidi.
Mm msingi + kibanda cha kuwekea material (cha mabati) + tank la maji +kijaza kifusi ilikata 10 Mill.
Eneo lilikuwa haliko tambarare.
Zege ya msolwa mwanzo kabla ya kuweka tofali.
+ mikanda.
Na Kuna sehem mikanda imekaa miwili(yote kokoto za msolwa) Na kuna sehem kozi ya matofali zililala 14.
Wakat budget niliandaa 7 mill.
Ujenzi sio poa kabisa.
ππππBado tafuta zingine 15M ndio itaanza kuonekana kama ni nyumba