mtu wa system
JF-Expert Member
- Mar 30, 2025
- 375
- 607
Ila kweli mwanang ukimilik nyumba hata ukiwa na madeni watu wanakudai ukiangalia nyumba inakupa moyo ya kuyalipa na unakuwa huna wadi snNoma sana. Jasho lazima likutoke lakini ndio maisha. Heshima sana ukimaliza kujenga unapumua na kuna raha fulani amazing kumiliki Home.
Babu sie wajukuu mgao wetu ukwapi kwenye hiyo 10 uipatayo
Mimi milioni 5 ilienda kwenye foundation tu, ndio maana hapa nawasoma wadau kwa utulivu mnoNyumba nyingi za town, hii pesa ni gharama ya msingi tu...
Babu kwenye ako kalikizo nichukue mm niwe nakuongoza njia zakupita😊Mimi ndiyo nimeanza kutenga Bajeti ya kwenda Likizo tangu Mwaka juzi
Walau naenda kutumia tumia kidogo ninachopata badala ya kutumia chote kwenye masuala ya Ujenzi 🙌
Hakika. Mungu akusimamie ufanikishe hiloMillioni tatu nahamia mengine nitafanya taratibu
Nadhani hutegemea na kiwanja kipo ktk hali gani. Kama slope kubwa inafika mil 5 na zaidi. Kama tambarale nyumba ya kawaida ya vyumba vi3 sebule jiko inafika mil 4Mimi milioni 5 ilienda kwenye foundation tu, ndio maana hapa nawasoma wadau kwa utulivu mno
Hesabu zako zimekaa vziuri sana, mengine ni mipango ya mungu.Kabisa.
Mtu akikuambia nyumba yake + kiwanja ni 100 mill. Wala usimshangae.
Ila hii isiwakatishe tamaa vijana.
Maana gar wekea miaka 2.
kujenga wekea kutumia miaka 5.
Kiwanja kununua wekea miaka 2.
Kuoa wekea mwaka 1.
So ukianza kujitafuta na miaka 25.
Ukifika na miaka 35.
Una kwako , mke + watoto na ka ist kako.
Maisja ya kawaida kabisa. Tena ya hapa mjini.
Unaweza ukawah au kuchelewa kwa sababu kadhaa.
Ila malengo yawe hapo kama mwanaume.
Inategemea na ukubwa au aina ya nyumba mkuu. Nyinyi wengine msingi mnaweka na jamvi, wenzenu tukilaza matofali na mkanda wa nondo mbili tumemaliza.Mimi milioni 5 ilienda kwenye foundation tu, ndio maana hapa nawasoma wadau kwa utulivu mno
Pole..😂😂Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Achana na huyoo...Kwaning una
Unasema nimepingwa zingatia tofali la block bukoba ni tsh 1600 cement ni sh 26,000 mfuko
Dah...Mil 10 vyumba viwili labda ukiweka na hela ya kununua kiwanja..lasivyoo umepigwaa parefuuu sanaaaa.
Mkuu raman tuione nipenda gharam. ina maana mm nikiwa na 20milion na kiwwnja kipo tayar naweza maliza ila niko Dar GobaMilioni 11 nimejenga vyumba viwili 11 kwa 11 sebule kubwa 12*12 bila kusahau vyoo viwili vya ndani na jiko kubwa 6*6 .
Milango, madirisha ila sijagrill na nishahamia kibishi.
Nb. Nimeijenga nyumba hiyo Dodoma 2024.
Nashangaa m10 umejengaje vyumba viwili
Acha basi utani Ndugu......ni Mkoani si DSM!Mil 10 vyumba viwili labda ukiweka na hela ya kununua kiwanja..lasivyoo umepigwaa parefuuu sanaaaa.
Safi.Nipo mkuu nimekuja kujengaa hapaa 😀 😀 😀
Hiyo nguzo ndio Ile nguzo ya ImaniMarahabaaa hujambo?View attachment 3457207
Yaani unaenda kupoteza Mil 10 kujenga Bukoba? Are u serious🤣nimejenga bukoba mjini
Ulitaka ajenge wapi?Yaani unaenda kupoteza Mil 10 kujenga Bukoba? Are u serious🤣
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Dah 😂😂kwamba sio eneo la kuishi auYaani unaenda kupoteza Mil 10 kujenga Bukoba? Are u serious🤣