Mliokaa jirani yangu Mungu anawaona kwa mnachonifanyia

shirima Mathias

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
451
Reaction score
1,333
Ni hivi:
Nimejikalia zangu bar na ki elfu tano changu cha mawazo, na sasa najipatia kakinywaji kangu uchwara ka balimi huku nacheki mechi ya spurs na arsenal.
Wakati mimi nakunywa kibalimi changu cha mawazo waliokuja jirani zangu masharobaro wamekuja kunivamia mezani na wameagiza maSAVANA na manyama na huku wanajilia kwa mapozi huku wakiwa hawana mpango hata wa kumaliza maSAVANA yao wala manyama yao
Kwa hivi nimetega angalau kama watabakiza manyama na machipsi yao nijifanye nayachukua kupelekea mbwa kumbe naenda kula

Hivo mniombee wayaache kweli maana sio kwa njaa hii.
Maendeleo hayana vyama
 
Umeona Sasa Tunakuambia Pombe Usiwezi Angaria Sasa Jamaan Jamaani Ona anaVua Nguo Jamaani
 
Wanakufanyia show uwaone matawi ya juu! Wanakulia timing uondoke na mmoja kwa dau kubwa!
 
kweli balimi sio togwa, umeiandika hii kwenye jukwaa la siasa. mods watakusaidia kuhamisha
 
kweli balimi sio togwa, umeiandika hii kwenye jukwaa la siasa. mods watakusaidia kuhamisha
Siku hizi wamepunguza kuunganisha baada ya kusemwa sana majuzi kati ndio maana bado unauona mpaka sasa😂
 
vp mtoa mada, umeambulia chcht until now.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…