Mlioko 2024 tujuzeni kuna lipi jipya?

Mlioko 2024 tujuzeni kuna lipi jipya?

Mr sule

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
606
Reaction score
1,110
Ndugu zangu sisi bado hajubahatika kufika 2024, nyie mlioko huko 2024 tupeni update changamoto mnazo kumbana nazo ili iwe rahisi kwetu sisi wa 2023 kujipanga na 2024.
 
We upo wapi bloangu,nipo Gaza hapa tunapanga mipango ya kuleta mwili wa mwanetu Joshua
 
Zaidi ya kuwekwa mask na hivi vimulimuli vya rangi jf sijaona mpya
 
Back
Top Bottom