The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Mkuu sijakimbia dar, nina miaka karibu 26 sijawah fika dar so hua naiona kwenye tv tuuu.Kwanini ulikimbia mji mkuu?[emoji23]
yess BishOoo haSwaaaaaaaH[emoji111]
Wapi mkuu. Maana nipo nipo tu.Naelekea eneo la tukio sasa
Umepanga kwenda wapi DepalNaelekea eneo la tukio sasa
Kiongozi kashasema tayr kua leo ni shangwe, wa mikoani tuache wivuNaamini lile agizo la kupiga kelele lilitekelezwa na watu wenye upungufu tu wa akili kichwani! Yaani unapigia kelele ujinga!!
A cool music for festival..Nafikiri Mambo yapo hivi..
Coco BeachUmepanga kwenda wapi Depal
Pole sanaNjoo gheto nipo mwenyewe
Nina..
Njoo Kunduchi beachWapi mkuu. Maana nipo nipo tu.
Nilipanga kwenda beach z kigamboni ila mbali dah ngoja nicheki uko Kunduchi au Coco.Njoo Kunduchi beach
Ulitaka uende Chadibwa au Mikadi? 😂Nilipanga kwenda beach z kigamboni ila mbali dah ngoja nicheki uko Kunduchi au Coco.