Mlioko Dubai mnaishije?

Umeendaje bila research ? Umejikuta tu ? Kuwa mtu wa winger kupeleka wafanya biashara kwenye machimbo bei poa.....ndio deal kubwa Dubai kwa vijana.....ila uwe mwaminifu sana wizi utaoeli dubai mwiko....wapopo wapo kibao full adabuu
 
Mji wa kitalii umedesigniwa kwa ajili ya wageni kuspend, kutumia pesa.

Pia kwa ajili ya labour vibarua wa kujenga.
Swali je mnaoishi huu mji mnaishije ni mishe gani inaweza ikakuweka zaidi ya mwaka mmoja mji kama huuView attachment 2851063
Unalipia kitanda tu unakuwa unaishi kama uko hostel. Room unakuta ni wakenya, wanyarwanda au watu wengine kutoka Afrika ila sikushauri ukae na wapopo.
 
Unalipia kitanda tu unakuwa unaishi kama uko hostel. Room unakuta ni wakenya, wanyarwanda au watu wengine kutoka Afrika ila sikushauri ukae na wapopo.

usalama hakuna!!

maana kukaa hotel nzuri unahitaj uwe na pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…