kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 464
- 447
Kuna shirika jipya la kidini limeingia East Africa linaiitwa United Missionary Foundation likitokea Congo DRC. Ninachotaka kufahamu kwa walioko Kenya ama Uganda vipi kuhusu maslahi ya watumishi wao