kingunge wa jf JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 464 Reaction score 447 Oct 13, 2020 #1 Kuna shirika jipya la kidini limeingia East Africa linaiitwa United Missionary Foundation likitokea Congo DRC. Ninachotaka kufahamu kwa walioko Kenya ama Uganda vipi kuhusu maslahi ya watumishi wao
Kuna shirika jipya la kidini limeingia East Africa linaiitwa United Missionary Foundation likitokea Congo DRC. Ninachotaka kufahamu kwa walioko Kenya ama Uganda vipi kuhusu maslahi ya watumishi wao
Chief Sam JF-Expert Member Joined Jan 21, 2019 Posts 2,483 Reaction score 4,675 Oct 14, 2020 #2 Ngoja mk254 akuletee data