Mlioko Msumbiji tupeane info.

Rene Jr.

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2014
Posts
3,714
Reaction score
2,376
Habari za kazi wakuu. Kumekuwa na mtiririko mkubwa sana wa Watanzania kuelekea Msumbiji, wanasema oportunities ziko nyingi kule, binafsi nimevutiwa sana lakini sijapata kuzungumza na Watanzania walioko huko kuskia wao wanapiga mishe gani na ni fursa gani zilizopo huko kwa sasa. Nimejaribu kufanya kautafiti kidogo kupitia google nimeona mji unaochipukia sana kwa sasa ni Tete, Je kuna watu walioko Tete kwa sasa ningependa kujifunza kutoka kwao. Mimi ni mwanamume mpiganaji, hivyo ningependda kujichanganya maeneo yaliyo active. Kama uko mji mwingine au unajua miji mingine na fursa zilizopo tusaidiane wakuu. i.e; sina mtaji mkubwa wa kujenga mjumba maana nimesoma sehem makazi yanahitajika sana, mtaji wangu ni mtaji kidogo, akili na nguvu nyingi. Nitashukuru kwa mawazo yenu wakuu.
 
Madini mkuu ndyo fursa enyewe..km huwezi madini unapiga bishara kwenye maeneo ya madini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…