Mlioko Ndola Zambia tafadhali mwambieni 'Mr. Objective' kuwa leo tunataka 'Double Strikers' ili tumaliza 'Biashara' mapema

Mlioko Ndola Zambia tafadhali mwambieni 'Mr. Objective' kuwa leo tunataka 'Double Strikers' ili tumaliza 'Biashara' mapema

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri.

Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita ) asimpange Kiungo wangu Mkabaji Bora na Fundi wa muda wote Fabrice Luamba GENTAMYCINE Ngoma.

Golini akianza na Kipa mpya Mwarabu Ayubu sawa japo kwa Uimara zaidi akiendelea Kumuamini Dogo Salim bado si mbaya.

Kwa Umuhimu wa Kuwakimbiza na Kuwachosha Wazambia asisahau pia kuanza na hawa Wachezaji wangu wa Kimkakati Kikosoni Muzamiru Yasini na Kibu Denis.

Wachezaji wa Simba SC waambiwe Ukweli kuwa leo tunataka Wapambane hasa huko Ndola Zambia vinginevyo Wakipoteza GENTAMYCINE nitapata Taabu sana hapa JamiiForums na watanivunja mno Moyo kwa Kuwatetea na Kuitetea kwa Gharama zote Brand na Image ya Timu yangu pendwa na iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club.

Mungu ibariki Simba Sports Club leo.
 
Kweli inabidi wasikuangushe maana sijui utaificha wapi sura yako pale mapopoma watakavyokushambulia.

GENTAMYCINE
 
OK! Ushindi ni kwa Simba maana hakuna namna nyiungine!
 
Back
Top Bottom