Tetesi: Mlioko ngala Bei za maharage zipoje? Maharage yapi?

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
843
Reaction score
740
Naombeni kujua Bei za maharage ngara
Naambiwa Bei poa sana je ni kweli?
Nmeambiwa 700/kg Ila hakusema maharage yapi madogo au makubwa alieko NGARA nahtaji msaada
 
Kwa sasa maharage ndio yanavunwa huku. Bei ya wilaya za jirani ni around 1800 kwa reja reja. Kwa hiyo Ngara huko shambani inaweza kuwa around 1000. Huko watu huuza gunia kwa around 100,000 mavuno yakitoka.
Jumatano ntakuwa huko ili nikajionee mwnyew ili nijue masoko yangu yatalpa ama la but nikipata hata 200 as profit ktk kila kila kilo ntayabeba......
 
Bei Bado iko juu ,hawajavuna Bado,wape wiki mbili mbele,hata hivyo Bei haiwezi lingana na huko kwenye Bei ya 2400
 
Jumatano ntakuwa huko ili nikajionee mwnyew ili nijue masoko yangu yatalpa ama la but nikipata hata 200 as profit ktk kila kila kilo ntayabeba......
Kumbuka kufanya timing siku za minada ndo wakulima huleta mnadani kuuza,
Ila Kuna wajanja washajua msimu ukikaribia wanahamia huko,wanakua wanakusanya minadani na kuweka stock,wewe wa mbali ukija wao ndo wanakuuzia,
So ukitaka faida ya maana,uende Sasa,piga kambi gesti hata mwezi,uyatime yakianza kupatikana tu,unazunguka minadani na kukusanya,mzigo ukitimia unaita fuso na kuingiza maharage town,utapiga he'll Hadi ushangae
 
Ahsante kiongozi...
 
Morogoro maharage sh.2600,haiwezekani hata kwa muujiza Ngara maharage yauzwe 1000 kwa kilo!
Kwa sasa maharage ndio yanavunwa huku. Bei ya wilaya za jirani ni around 1800 kwa reja reja. Kwa hiyo Ngara huko shambani inaweza kuwa around 1000. Huko watu huuza gunia kwa around 100,000 mavuno yakitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom