Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Baba hakosolewi mzee ....msaada plsTanzania hakuna Ngala. Kuna wilaya ya Ngara
Baba hakosolewi mzee ....msaada pls
Wapi huko bi_mkubwaMaharage yamepanda Bei, 3000 kwa kilo rejareja
Jumatano ntakuwa huko ili nikajionee mwnyew ili nijue masoko yangu yatalpa ama la but nikipata hata 200 as profit ktk kila kila kilo ntayabeba......Kwa sasa maharage ndio yanavunwa huku. Bei ya wilaya za jirani ni around 1800 kwa reja reja. Kwa hiyo Ngara huko shambani inaweza kuwa around 1000. Huko watu huuza gunia kwa around 100,000 mavuno yakitoka.
Kumbuka kufanya timing siku za minada ndo wakulima huleta mnadani kuuza,Jumatano ntakuwa huko ili nikajionee mwnyew ili nijue masoko yangu yatalpa ama la but nikipata hata 200 as profit ktk kila kila kilo ntayabeba......
Ahsante kiongozi...Kumbuka kufanya timing siku za minada ndo wakulima huleta mnadani kuuza,
Ila Kuna wajanja washajua msimu ukikaribia wanahamia huko,wanakua wanakusanya minadani na kuweka stock,wewe wa mbali ukija wao ndo wanakuuzia,
So ukitaka faida ya maana,uende Sasa,piga kambi gesti hata mwezi,uyatime yakianza kupatikana tu,unazunguka minadani na kukusanya,mzigo ukitimia unaita fuso na kuingiza maharage town,utapiga he'll Hadi ushangae
wap huko?Huku kilo 3000 maharage ya njano,mengne kilo 2400-2800
Kwa sasa maharage ndio yanavunwa huku. Bei ya wilaya za jirani ni around 1800 kwa reja reja. Kwa hiyo Ngara huko shambani inaweza kuwa around 1000. Huko watu huuza gunia kwa around 100,000 mavuno yakitoka.
Muwe mnaacha ubishi. Morogoro unanunua kwa reja reja. Ushawahi kwenda shamba wakati wa mavuno ukauliza bei ya gunia? Shambani hawauzi kwa kilo wanauza kwa gunia.Morogoro maharage sh.2600,haiwezekani hata kwa muujiza Ngara maharage yauzwe 1000 kwa kilo!
Sent using Jamii Forums mobile app