Mliokosa mikopo mbunge Kanyasu ajitolea kuwasemea bungeni

Mzee wa Code

Member
Joined
Sep 23, 2024
Posts
61
Reaction score
91
Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo ya serikali,

Kanyasu alienenda Mbali zaidi kwa kuongeza kuwa utoaji wa mikopo umekuwa na ukilitimba mkubwa wakati watanzania walipa kodi wazuri na mikopo imekuwa aitolewi kwa haki, nimekuwekea clip msikilize vizuri kumbe wabunge wa CCM wana akili ila wanajizima data kwa njaa za kuendelea kuwa wabunge.

inshu ni umasikini sio kwamba serikali haitaki kutoa mikopo, usime kwa mkopo na ajira ya kukupa hawana
 
Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo ya serikali,

Kanyasu alienenda Mbali zaidi kwa kuongeza kuwa utoaji wa mikopo umekuwa na ukilitimba mkubwa wakati watanzania walipa kodi wazuri na mikopo imekuwa aitolewi kwa haki, nimekuwekea clip msikilize vizuri kumbe wabunge wa CCM wana akili ila wanajizima data kwa njaa za kuendelea kuwa wabunge.

hoja safi kabisa. japo utekelezaji ni mbingu na ardhi
 
Back
Top Bottom