GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tofauti iko hapo jiwe anapokea kadege m7 anapokea bonge la degebonge la ' Dege '
Ndio maana hata youtube kuna trending videos.Kwani ukimuona baba wa jirani yako akiwa anatembea uchi leo itakuwa imefuta aibu ya baba yako kutembea uchi juzi?
Nae ni mshamba.kwa hiyo chizi wawili wakinya hadharani kitendo hicho kinakuwa halali!kisa ni wawili? Nyerere mbona hakupokea ndege?Kuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.
Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.
Nawasilisha.
Chanzo taarifa: NTV Uganda.
Weka pichaKuna Watanzania walikuwa na ' dhihaka ' za kila aina ( GENTAMYCINE hayupo ) kwa Rais Dkt. Magufuli hasa pale alipokuwa akizipokea Ndege zako kadhaa zilipowasili na ' wakimcheka ' labda wakimuona ni Mbwigira / Mshamba wakati kumbe ilikuwa ni haki yake kama Rais wa nchi.
Haya hivi sasa Raia wa Uganda Mzee Museveni nae anapokea bonge la ' Dege ' huko Kwake nchini Uganda. Kama vipi mchekeni na mdhihakini na Yeye pia ili tujue kuwa mna ' Usawa ' hasa katika ' Ukosoaji ' wenu na siyo kwamba pengine kuna Watu mna Visununu / Chuki tu kwa Mzee wa Watu Rais Dkt. Magufuli.
Nawasilisha.
Chanzo taarifa: NTV Uganda.
Kwani ukimuona baba wa jirani yako akiwa anatembea uchi leo itakuwa imefuta aibu ya baba yako kutembea uchi juzi?