Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Kwa hiyo mtumikiwa wa dini bandia hakutumia dawa ya penzi(kondom)kweli kavu tamuuuu!
 
Mbona Gwajima yupo Kanisani Kwake hata kesho atafundisha maana leo amefundisha ,au gwajima wa JF ?
 
Tuacheni ushabiki maandazi!, pamoja na matatizo ya ndoa, Flora bado ni mke halali wa Mbasha na kama ni kweli yuko katika hali hiyo, mhusika kihalali, kihaki na kisheria ni mumewe!.

Ikitokea kuna yeyote mwenye mashaka, hilo linabaki kuwa ni tatzo lao la ndani na watalimaliza kwa DNA mtoto atakapozaliwa!.

Tuacheni uzushi na tupunguze majungu!.


Pasco.
 
Mbona Gwajima yupo Kanisani Kwake hata kesho atafundisha maana leo amefundisha ,au gwajima wa JF ?
. Baadhi ya magazeti yameandika katoroka.kama si kweli basi waandishi wa bongo ni tatizo.
 
Nashangaa wanaume wazima mnatetea umarioo!!!! Hata kama kadungwa mimba hiyo ni sawa tu coz mme wake ni marioo anategemea sauti ya mkewe kuishi.... sasa kakutana na mwanaume kamili anaejua kutafta hela sio huyo Marioo mtaji mb.oro
 
unamuongelea flora kama mtu wa kawaiiiida!
PUBLIC FIGURE EVERYTHING GOES PUBLIC!!
 
Mnacheza na kitema mkojo ni noumaa I see!.
 
Sielewi ,kila mtu anaongea lake tumuamini nani!
 
jamani kwani frola ana mimba? Mnaojua mtujuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…