Mliokuwa mkimtetea Flora Mbasha mko wapi? mteteeni tena

Kwa hiyo mtumikiwa wa dini bandia hakutumia dawa ya penzi(kondom)kweli kavu tamuuuu!
Hahahahahahaha nooma sana.
 
Nashangaa wanaume wazima mnatetea umarioo!!!! Hata kama kadungwa mimba hiyo ni sawa tu coz mme wake ni marioo anategemea sauti ya mkewe kuishi.... sasa kakutana na mwanaume kamili anaejua kutafta hela sio huyo Marioo mtaji mb.oro

Mh! na wewe ni GT kweli!?
 
jamani tupeane majukumu hapa kesho ni jumapili sasa tutume wawakilishi wa kwenda mpaka pale kanisani je GWAJI yupo?ikiwezekana na Picha kabisa.ili huu uzi utiririke vizuri
cc WARUMI
DINAZARDE
NYANI NGABU
THE BOSS
.............!MALIZIENI WENGINE!
 
Kama huna mzigo ukisaidiwa kuwa mpole tuu na wewe tafuta mnyonge wako!!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mnacheza na kitema mkojo ni noumaa I see!.

Yaani kikojoleo? hakika si kila amwitaye Yesu atakanyaga.mbinguni. Ila hivi umri.wa Emma 32 na alioa na 22! Umri wa flora niaje?
 
Yaani kikojoleo? hakika si kila amwitaye Yesu atakanyaga.mbinguni. Ila hivi umri.wa Emma 32 na alioa na 22! Umri wa flora niaje?

Yeah kikojoleo. Ila bado ni kijana amshike Yesu kisawa kisawa atamnyooshea njia # Mbasha.
 
Walio wengi wenye Majina ya Flora, Lucy ni vicheche sana na hawana maadili mema mbele ya jamii................
 
Maombezi yamefikia mahali pake. Maombi yakafanyika kuombea watu wengine na mwingine naye akamuomba mwingine na mwingine akaimba na kucheza hadi mwingine akaona utukufu wa mwingine na mwingine akalala wakaendelea kuimba hata aliyekuwa anaimba kwa kucheza akapata alichokuwa anaomba. Umesema mimbaah! wacha bwana mchungaji! kondoo labda alitaka malisho mapya.
 
mbashaeeeeeee -sikiliza bwana!
Mtafute Mrs Gwajima umweleze maombi yale aliyoombwa flora na akiimba na kucheza na wewe basi mchukue flora mkeo umlete nyumbani kwa kuwa maombi yamekuwa pande zote. ikiwa wa kwako bwana atambariki mapema ni afadhali maana atakayebarikiwa baadaye atakuwa anatia uchungu zaidi. AMEN
 
1.Usikute hormones za mimba ndio zilisababisha Flora wa watu ahamie hotel.
Kina mama waliowahi beba mimba na kina baba waliowahi ishi na wanawake wenye mimba wanaweza kukubaliana na mimi.
Sisemi kila anayebeba mimba huhama nyumbani kwake bali namaanisha mimba nyingine husababisha mama mjamzito kuwa na tabia za ajabu.

2.Nataka kumtetea Flora baada ya kusikia ana mimba ila sasa nikifikiria issue yake na mzee wa hummer hata nakosa points za kufanyia utetezi wangu.

3.Nina hamu yakuona dogo atafanana na nani.
 
unamuongelea flora kama mtu wa kawaiiiida!
PUBLIC FIGURE EVERYTHING GOES PUBLIC!!
Yes kwa mujibu wa sheria ya "the right to privacy!" ni kweli public figures everything ni public, kwa wale public figures ambao wako paid by public money!, "taxpayers". Hawa public figures ambao they make their own money, bado wanalindwa na "the right to privacy" kinachofanywa na magazeti ya udaku, mimi nayaita ya vichochoroni, ni ufukunyuku wa udaku tuu!.

Kitu kikubwa ninachokilinda ni kitu kinachoitwa "the marriage institution", taasisi ya ndoa, watu ambao wako kwenye ndoa, mke akipata ujauzito, ujauzito huo ni wa mumewe!, unless kama kuna mtu alimshikia mguu huyo jamaa wakati wa kuipachika!.

Kuifuatilia mimba ya mke wa mtu na kudai ni ya fulani, huku ni kuingilia over and above mambo binafsi ya mtu!.
Kwa kawaida mtu mwenye kujua kwa hakika mimba ni ya nani ni mwanamke!, zikifanywa compulsory DNA kwenye kila familia!, amini usiamini, kuna familia zitaparaganyika!. Naijua familia moja ina watoto 3, baada ya kukaa bila watoto kwa miaka kadhaa na mwanamke ndie akinyooshewa kidole kuwa ni tasa! na manyanyaso makubwa!, mwanamke kajipima yuko ok!, kilichofuatia, "alijaribisha nje" ikajipa!, alimfyatulia mumewe watoto watatu, wote vidume!, na wote walihesabika ni watoto wa mumewe! na ndoa ilidumu, manyanyaso yalikoma na waliishi raha mustarehe mpaka ...

Nilichoshauri ni watu humu kuacha uzushi na kupunguza majungu!.

Pasco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…