Mliokuwa mkisema Messi hawezi kucheza nje ya La Liga kaeni mkao wa kula

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.

Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni kwenda kufanya vipimo huko Paris katika siku mbili tatu hizi.

Macho na masikio tuyaelekeze kwenye Ligue One pamoja na michuano ya Ulaya tushuhudie Messi akishindwa kucheza nje ya Spain.
 
Nilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
 
Yeye kucheza Man U au Mancity nini kingemshinda?yote si ni ulaya ile ile?wachezaji wa kariba ile ile?ubora wa viwanja ule ule?
Kumbuka mchizi hadi sasa ameshaifungia timu yake magoli 680 na ushee huko katikamiaka 21 si kitu ya kitoto hii mutu nihatareee
 
Nimekuwa sio muumini wa kusema ili uwe bora ni lazima ucheze ligi tofauti lakini kama unataka kumpima Messi kwenye Ligue 1 unakosea sana mkuu.

Ni Ligue ambayo ni nyepesi sana kwakuwa timu pinzani na PSG ni dhaifu sana kuanzia kwenye bajeti mpaka aina ya wachezaji waliopo kulinganisha na PSG.

Ni kama Bayern Munich anavyofanya kwenye Bundesliga!
 
aliokua wanasema hivyo hawakumaanisha Ligi za wakulima kama VPL SPL au Eqypt PL.
 
Nilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
kwanini ronaldo hakwenda Burnley akaenda kwenye team ambayo imechukua ubingwa mara 8 mfululizo
 
Nimekuwa sio muumini wa kusema ili uwe bora ni lazima ucheze ligi tofauti lakini kama unataka kumpima Messi kwenye Ligue 1 unakosea sana mkuu.

Ni Ligue ambayo ni nyepesi sana kwakuwa timu pinzani na PSG ni dhaifu sana kuanzia kwenye bajeti mpaka aina ya wachezaji waliopo kulinganisha na PSG.

Ni kama Bayern Munich anavyofanya kwenye Bundesliga!
Huyu huyu messi alyemfunga man u iliyokamilika hadi mzee ferg wenu akawa anatetemeka umeisahau ile siku?
 
kwanini ronaldo hakwenda Burnley akaenda kwenye team ambayo imechukua ubingwa mara 8 mfululizo
Shabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.
Kuhusu kwenda BURLEY, mbona MESSI hajaenda hata monaco?
Suala la nani aende wapi hilo ni suala lake na wakala wake wapi kuna maslahi wapi niaje niaje.
 
Huyu huyu messi alyemfunga man u iliyokamilika hadi mzee ferg wenu akawa anatetemeka umeisahau ile simu?
Usichoelewa ni nn bro????
Nakubali uwezo aliouonyesha messi alipo cheza na timu kubwa kubwa kwenye UCL na kuzifunga.
Ambacho mashabiki wa soka hawajakiona na walitamani kukiona ni messi kucheza ligi yenye ushindani mkubwa kama EPL yenye changamoto nyingi tuone. Akifanya aliyoyafanya tutaprove uwezo wake pia kwa ligi tofauti tofauti.
 
Back
Top Bottom