ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Nakubaliana nawe...Messi angeweza kwenda England au Italy lakini anaogopa kaamua kwenda Farmers League
CR7 the [emoji238]
Farmers ligi atafunga atakavyo huyuYule anakipiga popote, hata ingekuwa Somalia angeupiga mwingi vilevile!
Katika mataifa hayo kuna aliyepeleka ofa zaidi ya psg akaikataa?Messi angeweza kwenda England au Italy lakini anaogopa kaamua kwenda Farmers League
CR7 the [emoji238]
Hata UEFA champions league atafunga sanaFarmers ligi atafunga atakavyo huyu
Yeye kucheza Man U au Mancity nini kingemshinda?yote si ni ulaya ile ile?wachezaji wa kariba ile ile?ubora wa viwanja ule ule?Nilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
Yani Hakuna timu Messi anazionea kama za England 😆😆😆Messi angeweza kwenda England au Italy lakini anaogopa kaamua kwenda Farmers League
CR7 the 🐐
kwanini ronaldo hakwenda Burnley akaenda kwenye team ambayo imechukua ubingwa mara 8 mfululizoNilitegemea angeenda MAN UTD ndio ungekuja na uzi wako. Lakini kaenda farmers ligi na club iliosheheni wenye uwezo nadhani ataonekana mkali kuzidi ule ukali alionao. Angejitosa pale man utd au man city awe anaona nginja ngija za akina wovermpton, aston villa, leicester.
Huyu huyu messi alyemfunga man u iliyokamilika hadi mzee ferg wenu akawa anatetemeka umeisahau ile siku?Nimekuwa sio muumini wa kusema ili uwe bora ni lazima ucheze ligi tofauti lakini kama unataka kumpima Messi kwenye Ligue 1 unakosea sana mkuu.
Ni Ligue ambayo ni nyepesi sana kwakuwa timu pinzani na PSG ni dhaifu sana kuanzia kwenye bajeti mpaka aina ya wachezaji waliopo kulinganisha na PSG.
Ni kama Bayern Munich anavyofanya kwenye Bundesliga!
Shabiki mandazi wewe. Ronaldo CR7 alishaprove uwezo wake ndani ya EPL.kwanini ronaldo hakwenda Burnley akaenda kwenye team ambayo imechukua ubingwa mara 8 mfululizo
Usichoelewa ni nn bro????Huyu huyu messi alyemfunga man u iliyokamilika hadi mzee ferg wenu akawa anatetemeka umeisahau ile simu?