Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
DPP Mwakitalu. Team yake na Samia wao tuna jambo nao zito sana baada ya Oktoba 29.Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 lissu yupo jera.
Nakumbuka Kuna Askofu Moja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.
Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.
Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.
Kula chumba icho
Yani hii Samia wamemhaini na hamna kitu atafanyaTundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 lissu yupo jera.
Nakumbuka Kuna Askofu Moja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.
Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.
Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.
Kula chumba icho
Hili la Lissu kubwa jera ndo limeongeza joto kubwa la kisiasaWenyewe ndio watakuwa wanapanda yale mabati wanampandisha Lissu kila siku kutoka gerezani na ulinzi mkali...
Sanaaa sio kidogo na moto umewaka sawa sawa wanamuonea tu alafu wanataka kufanya uchaguzi mpinzani Chauma ambao walikuwa wanagawa ubwabwa😆😅😅Hili la Lissu kubwa jera ndo limeongeza joto kubwa la kisiasa
Mkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Majamaa majinga kweliUzi mzuri sana
Yaaani Mungu asaidie mtizamo wako uko hivyoMkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...
You have read my mind. Huwez kupanga point namna ile.it took much time of a rehearsal. Umekaa umeandika tamko umepima mambo ume explore all outcomes. Why select this time?Mkuu ukifatilia hii issue utaona kuna watu wakubwa sanaa wapo nyuma ya hii issue....Hii issue ni kubwa sana tena sanaa na hii plan ilishapangwa mda sanaa tena sanaa....Hayupo mwenyewe huyo...
Hii ni point📌📌Tundu Antipas Lissu, alifunguliwa kesi ya uongo ya uhaini na Samia.
Samia akatumia mahakama na kina Katuga kumkomesha Lissu, mpaka Sasa ni mwezi 7 Lissu yupo jela.
Nakumbuka Kuna Askofu Mmoja alionya kubwa neno uhaini linachukuliwa poa na watawala ila akashauri sio vyema kutumia hili neno kwenye mambo ya kisiasa.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, Captain Tesha Kwa alichokifanya ni uhaini pure. Uhaini ambao kina Katuga walikuwa wanauchezeachezea na kuupaka matope Sasa umekuja uhaini real kabisa.
Tesha awe mwanajeshi ni hatari Kwa Samia. Lakini Tesha kama sio mwanajeshi ni hatari pia Kwa Samia.
Samia ulituaminisha Tanzania kuna ugaidi kupitia Kwa Mbowe, then ukatuaminisha Tanzania Kuna wahaini kupitia Lissu Sasa uhaini umekuja kweli.
Kula chumba icho
Akifanya hivyo samia amalizi miezi 8Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
Kwanini umewaza hivyoNgumu na w
Akifanya hivyo samia amalizi miezi 8
Ila Samia ni kichwa ngumu, kwamba anamfunga Lissu afu afanye uchaguzi Kwa amani ,, pumbafuuuuu kabisaMistake ilikuwa kwenye TIITHI kuruhusu karibu nusu ya nchi isishiriki uchaguzi joto lazima liwe kubwa sana huwezi kudharau watu wote hao ukasema uko serious na usalama wa taifa