Mliokuwa mnanajisi uhaini sasa mmeupata

Tunasubiri akina Muliro waende jeshini kumkamata Tesha sasa.

Wapi mpishi wa kesi za kubumba Kingai?

Namuona Masaju anaropoka huko hadi kichwa kinatoa mvuke😅
 
Huu ndio uhaini namimi nina hofu huenda kaptn Tesha akaunganishwa kwenye kesi ya lisu
No..

It could be possible if this would have happened then..

Hili ni tukio jingine na kama ni kesi basi ni kesi nyingine kabisa isiyo na uhusiano wowote na ya TL...

Kumbuka, kesi ya TL mpaka sasa upelelezi ulishakamilika mwanzo mwisho, kesi au makosa yamekuwa established na ushahidi kuwa tabled..

Kuingiza kitu kingine, maana yake wanatakiwa kuiondoa au kuifuta hii ya sasa na kufungua kesi nyingine upya na waiite vyovyote aidha ugaidi au uchochezi na au hata uhaini...

KWA HIYO: Kwa hii, as kufikia hatua ya sasa, ondoa huo wasiwasi, KISHERIA HAITAKUWA HIVYO..!

Samia na genge lake wameshakamatika, wameshavurugana na wanasalitiana wenyewe kwa wenyewe...

Muda si mrefu watageukiana na kuanza kulana na kutafunana wenyewe kwa wenyewe..!
 
Achana wakulane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…