Mliokuwa mnapiga chapuo kuhamisha watoto kutoka shule binafsi kwenda za serikali matokeo ya darasa la saba mwaka huu yamewaumbua

Mliokuwa mnapiga chapuo kuhamisha watoto kutoka shule binafsi kwenda za serikali matokeo ya darasa la saba mwaka huu yamewaumbua

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Tafuteni hela, ni umasikini tu ulikuwa unawasonga

Bado private schools ni bora kuliko St Kayumba.

Hakuna mtu mwenye uwezo na anayejua maana na umuhimu wa elumu atabisha, mwaka huu kayumba wengi wana wastani wa C, D, na wachache B
Huku upande wa pili wastani wa B ni kama umefeli
 
Uko sawa kabisa ingawa binti yangu kupata A shule ya Kayumba na ni wawili tu shule nzima yenye wanafunzi 89 ila ukweli A kwenye shule za private ni za kumwaga
 
Uko sawa kabisa ingawa binti yangu kupata A shule ya Kayumba na ni wawili tu shule nzima yenye wanafunzi 89 ila ukweli A kwenye shule za private ni za kumwaga
Mtafutie zawadi,muombee kwa Mungu na kuwa nae karibu,ana kitu huyo atafika mbali,hongeteni
Bila shaka akili za nama yake😁😁
 
Back
Top Bottom