Mliokuwa mnashupaza mishipa ya shingo huku mkisema kuwa Feisal Salumu apewe mshahara mnono (aongezewe mkataba) mbona siwaoni baada ya dogo kuwaumbua??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Dogo kachomoa kasema hana shida na masilahi (mshahara kuongezwa).

Wele wanaharakati mliokuwa nae bega kwa bega mlioshupaza mishipa ya shingo na kupiga kelele nyingi kuwa Feisal Salumu apewe pesa za kutosha Kama anavyolipwa Mayele ama Azizi kii.

NALIA NGWENA siwaoni Tena mmeyeyuka Kama barafu mmekimbia mlichokua mnakipigania maana bwana mdogo Hana shida na kuongezewa mshahara.

Nawasilisha hoja.
 
Mie kinachonishangaza Yanga ni kimoja. Mchezaji katoroka au kaacha. Hana nia ya kucheza. Si wamfukuze? Kwa nini awajazie nafasi. Yanga ni timu kubwa. Kwa waendelee kudai ni mchezaji wao. Kwa bila Feisal Yanga inapotea?
Ukweli ni kuwa hawataki kumfukuza kwa sababu wanahofia atahamia timu pinzani. Hata hivyo, si wamwache aende. Wanasumbuka nae wa nini.
 
Ikiwa hivyo mpira utachezeka? mchezaji akipata timu ana anzisha utoro ili afukuzwe kutakua na ligi?
 
Mara ngapi wachezaji watovu wa nidhamu wafukuzwa? Hujawahi kusikia? Wale ni wafanyakazi. Wanaajiriwa na kufukizwa. Nikukumbushe. Yanga imewahi kufukuza wachezaji wote. Wote. Wakaenda kujiunga na Nyota Afrika ikapata ubingwa mwaka uliofuata.
 
Wamwachie wana lunyasi tumdake chap chap, mnamlipa mshahala wa mwalimu kabisa
 
Rais sjui aliwahi kutaka kumla dogo,mbona kagoma kabisa kurudi jangwani,licha ya kupelekwa kwa shehe wa mkoa kabisaa,mhhh kuna namna hapa sio bure?!!!!.

Na anasema kama rais akiondoka yeye ndo atarudi ,swali linabaki.

JE RAIS ALIMFANYA NINI FEISAL..?
 
Dogo analinda marinda yake
 
Mara ngapi wachezaji watovu wa nidhamu wafukuzwa? Hujawahi kusikia? Wale ni wafanyakazi. Wanaajiriwa na kufukizwa. Nikukumbushe. Yanga imewahi kufukuza wachezaji wote. Wote. Wakaenda kujiunga na Nyota Afrika ikapata ubingwa mwaka uliofuata.
Enzi hizo wachezaji wanasjailiwa bure ni sawa na leo?
 
Nini umesema ?
Hataki upuuzi huu
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Back
Top Bottom