NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ikiwa hivyo mpira utachezeka? mchezaji akipata timu ana anzisha utoro ili afukuzwe kutakua na ligi?Mie kinachonishangaza Yanga ni kimoja. Mchezaji katoroka au kaacha. Hana nia ya kucheza. Si wamfukuze? Kwa nini awajazie nafasi. Yanga ni timu kubwa. Kwa waendelee kudai ni mchezaji wao. Kwa bila Feisal Yanga inapotea?
Ukweli ni kuwa hawataki kumfukuza kwa sababu wanahofia atahamia timu pinzani. Hata hivyo, si wamwache aende. Wanasumbuka nae wa nini.
Mara ngapi wachezaji watovu wa nidhamu wafukuzwa? Hujawahi kusikia? Wale ni wafanyakazi. Wanaajiriwa na kufukizwa. Nikukumbushe. Yanga imewahi kufukuza wachezaji wote. Wote. Wakaenda kujiunga na Nyota Afrika ikapata ubingwa mwaka uliofuata.Ikiwa hivyo mpira utachezeka? mchezaji akipata timu ana anzisha utoro ili afukuzwe kutakua na ligi?
Ubingwa ?;[emoji41]Hataki maslahi tena baada ya kuona atapoteza ubingwa wake.... π π π π
Kawaweka njia panda waliokuwa wanampigania kwa udi na uvumbaFEI hapa kachoma picha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hataki maslahi tena baada ya kuona atapoteza ubingwa wake.... π π π π
Dogo analinda marinda yakeRais sjui aliwahi kutaka kumla dogo,mbona kagoma kabisa kurudi jangwani,licha ya kupelekwa kwa shehe wa mkoa kabisaa,mhhh kuna namna hapa sio bure?!!!!.
Na anasema kama rais akiondoka yeye ndo atarudi ,swali linabaki.
JE RAIS ALIMFANYA NINI FEISAL..?
Nini umesema ?Dogo analinda marinda yake
Enzi hizo wachezaji wanasjailiwa bure ni sawa na leo?Mara ngapi wachezaji watovu wa nidhamu wafukuzwa? Hujawahi kusikia? Wale ni wafanyakazi. Wanaajiriwa na kufukizwa. Nikukumbushe. Yanga imewahi kufukuza wachezaji wote. Wote. Wakaenda kujiunga na Nyota Afrika ikapata ubingwa mwaka uliofuata.
Hataki upuuzi huuNini umesema ?